UK Bookmakers

‘Tafiti, ripoti zitumiwe na serikali’

Posted in Media Briefs

Source: Tanzania Daima, Sept 1, 2013

WABUNGE wameitaka serikali kutumia matokeo ya tafiti na ripoti mbalimbali kwenye utendaji wake wa kazi ili kupunguza umaskini na kuongeza kipato kwa wananchi.

Wito huo waliutoa jana mkoani hapa walipokuwa wakihudhuria semina ya uzinduzi wa mchakato wa ripoti ya maendeleo ya binadamu Tanzania iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa masuala ya kiuchumi na kijamii (ESRF) kwa kushirikiana na UNDP.

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje, alisema kamwe taifa haliwezi kuendelea kama serikali itaendelea na tabia ya kutozitumia, tafiti, mapendezo na ripoti mbalimbali zinazotolewa na watalaamu tofauti tofauti.

Read More

The Best betting exchange http://f.artbetting.netby ArtBetting.Net
All CMS Templates - Click Here