UK Bookmakers

Umaskini nchini kupungua hadi asilimia 20 mwaka 2015

Posted in Media Briefs

Source: Nipashe Newspaper, May 4, 2013

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo (UNDP), Philippe Poinsot

Dira ya mipango ya maendeleo Tanzania ni kuhakikisha umaskini unapungua hadi asilimia 20 ifikapo mwaka 2015.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Mambo ya Kijamii (ESRF) Dk. Hossiana Lunogelo alisema hayo jana wakati wa uzinduzi wa warsha ya utayarishaji wa mikakati ya taarifa ya maendeleo, unaotegemewa kukamilika mwaka 2014.

Warsha hiyo inayoshirikisha wataalamu wa uchumi na utafiti kutoka idara za serikali na taasisi za elimu ya juu ilifunguliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo (UNDP), Philippe Poinsot.

 Read More

The Best betting exchange http://f.artbetting.netby ArtBetting.Net
All CMS Templates - Click Here